Our Products

Welcome to our Mwanagenzi Online Store! Feel free to browse around our products:
Balaa ya Buraa

Balaa ya Buraa

Kshs 230.00

A Swahili play written in a modern life setup. More Info »

Balaa ya Buraa was last modified: by Mwanagenzi
Mahinda Matano

Mahinda Matano

Kshs 250.00

Mahinda Matano alikuwa mwepesi wa kuelewa mambo. Alikuwa mwerevu, mwenye akili timamu na heshima zake za kipekee. Mwalimu wake, Bi Pendo, alimpongeza sana darasani kwa werevu wake kila alipofunza darasani. Watoto kama hao huwa ni kielelezo chema darasani kwa kuwaongoza wenzao ama kuwaelekeza kwa njia inayofana. Darasa lisilo na mwanafunzi sampuli hiyo hukosa mashindano yanayoibua mshindi aliyewapiku wengine wote. Kila siku, Bi Pendo alisema kuwa, chanda chema huvikwa pete na wanafunzi walielewa maana ya methali hiyo. Walipoufanya mtihani, Mahinda Matano alijitahidi sana kwa uwezo wake wote... More Info »

Mahinda Matano was last modified: by Mwanagenzi
Check out our most popular products: